Leviticus 24:3-4

3 aNje ya pazia la Ushuhuda ndani ya Hema la Kukutania, Haruni ataziwasha taa mbele za Bwana kuanzia jioni hadi asubuhi bila kuzima. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo. 4 bTaa zilizo juu ya kinara cha dhahabu safi mbele za Bwana lazima zihudumiwe daima.

Copyright information for SwhKC